Muziki Promosheni
MSANII ZINGATIA SANA VIGEZO VIFUATAVYO:
1: Tuma Wimbo ukiambatanisha Picha (Cover Photo) ya Msanii Kupitia Njia Zifuatazo;
(ii)WhatsApp Namba: +255 783 230 606
ZINGATIA: Kama Huna Cover Photo yaani Picha ya Msanii Piga +255 783 230 606
Pia Wewe kama Msanii Utaweza Kulipia Tsh. 5000/= (Elfu tano tu) kwa Audio moja. Na kama ni Video utalipia Tsh. 10000/= (Elfu Kumi tu) na Kwa Audio na Video vyote ni Tsh. 15000/= (Elfu kumi na tano tu)
3: Njia Za Malipo:
(i) M-Pesa +255 748 359 023 (Salome Mtemi) Jina La Akaunti.
(i) M-Pesa +255 748 359 023 (Salome Mtemi) Jina La Akaunti.
Baada ya Kufanya Hivyo Vyote Hapo Juu Piga simu au Nitumie Ujumbe Mfupi Kupitia Namba +255 746 243003

2 Comments
Sawa sawa kabisa
ReplyDeleteAlf Sisi tutapata faida gani?
ReplyDelete